Thursday, January 23

Kifunga kinywa usiku huu

Bado tupo kwa Mama Lulu ambapo usiku tumepika kamba a.k.a prawns curry zenye maziwa pamoja na chipsi, vikisindikizwa na salad ya nyanya yenye mayonnaise pamoja na mtindi kutoka Cefa Njombe, tulioletewa na dada Hamida.
  Kamba unawapika kama kawaida ila badala ya kuweka tui la nazi, unaweka maziwa aidha ya pakiti au ya kupimiwa kwenye galoni.
  Ushuhuda wetu ni huu


No comments:

Post a Comment