Leo tulienda kutengeneza jino lilikua linasumbua kidogo. Tukakutana na daktari wetu asubuhi na kwenye saa 3 asubuhi tukawa tayari tumemalizana naye. Moja ya onyo tulipewa ni kutokula chochote kwa masaa mawili baada ya matengenezo, na baada ya hapo tule chakula laini pia tusubiri kipowe.
Tukapita kwa mama Lulu kudeka kidogo na menu aliyotutengenezea ni viazi vya kuponda a.k.a mash potatoes pamoja na mayai yaliyovurugwa a.k.a scramble eggs.
Ushuhuda wetu ni huu
Tukapita kwa mama Lulu kudeka kidogo na menu aliyotutengenezea ni viazi vya kuponda a.k.a mash potatoes pamoja na mayai yaliyovurugwa a.k.a scramble eggs.
Ushuhuda wetu ni huu
No comments:
Post a Comment