Tumejikuta tu tupo jikoni kwa Mama Lulu. So tukaangalia kuna nini na kuanza kujipikilisha.
Msosi wa leo ni viazi kaanga na samaki rosti in spesho way.
Mama Lulu ndo amepika hao samaki na cha kufanya ni wachane kiasi samaki fresh pande zote, kisha waweke viungo samaki wako. Viungo ni chumvi, ndimu, kitunguu swaumu na pilipili manga, kisha waache kwa mda viungo vikolee.
Katakata kitunguu maji, pilipili hoho na nyanya kisha viweke kwenye kikaangio pamoja na samaki, chumvi kiasi na mafuta kijiko kimoja kisha weka motoni lakini hakikisha moto ni mdogo.
Baada ya muda kiasi wageuze huku ukiangalia viungo vikiiva. Kisha epua samaki wako tayari kwa kupakuliwa.
Chemsha viazi kiasi, na vitunguu maji na chumvi. Visiive lakini vilainike, kisha chuja maji na kaanga kwenye mafuta safi.

Mwisho wa siku mlo wetu wa usiku ulionekana hivi.
No comments:
Post a Comment