Tuesday, January 24

Popote Ipo.


Hii Menu alikula Big Bro.Bedah tulipokuwa matembezini Iringa mjini ni nyama ya kitimoto a.k.a Mdudu kama anavopenda kuita Bedah. Tutajitahidi kuwasiliana na mpishi wa menu hii ili atupe namna ya maandalizi yake. Akhsante kwa kututembelea.


4 comments: