Sisi tulikua pande za Rose garden na sina mengi ya kusema. Naacha picha zijieleze
Kulikua na mbuzi choma

Kulikua na samaki ajulikanaye kama Brenda fasi

Kulikua na makange ya kuku

Na samaki ajulikanaye kama Rose garden

Vilivyosindikiza ni ugali na wali, huku tukishushia na maji safi ya kunywa.
Vilivyosindikiza ni ugali na wali, huku tukishushia na maji safi ya kunywa.
Asanteni Getrude, Fatma, Jennifer, Ruth na Aika kwa lunch ya leo, wote ni wadada toka Airtel.
No comments:
Post a Comment