Thursday, December 19

Menu ya kitaa

  Bado tunaendelea kuwaonesha, kuwaonjesha kupitia picha menu mbalimbali za kitaani ambapo leo, tukiwa pande za kinondoni tulipishana na kitimoto hii, mida ya nyuma kidogo.
  Kwa picha ushahidi uko hivi, ni rosti yenye pilipili


   Kisindikizio ni ndizi zilizokaangwa, pamoja na kachumbari huku pilipili na ndimu navyo vinakorombwezwa

   Mwezi ni wa nyama, na sie twawakumbusha tu kwamba menu zote hizi zinapatikana pande za Dar iliyo salama kitaani zaidi.

No comments:

Post a Comment