Wednesday, December 18

Mitaa ya Makumbusho

  Bado tunaangalia menu za kitaani, ila tumehama kutoka Sinza hadi Makumbusho ambapo tulisimama kwenye sehemu ijulikanayo sana kwa jina lake kwanza, pili kwa nyama ipatikanayo hapo. Tulisema huu ni mwezi wa kula nyama na tunaendeleza mila.
  Jioni tulipofika pale tuliomba kipande kimoja kwa ajili ya kuonja tu na kisha kuona je menu hiyo yafaa kuwekwa ndani ya Menu time baada ya kutathminiwa na wana menutime?
   Chini ndo ushahidi wao wa picha.....

   Tujuze kitaani kwako kuna menu gani tamuu tuje kuijaribu!! kisha tuizungumze kwa pamoja hapa hapa ndani ya Menu time!! Tuwatakie mchana mwema!!

No comments:

Post a Comment