Monday, December 23

Kila la Kheri msimu huu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka

  Katika siku za mwisho za kujiandaa na sikukuu za Noeli na mwaka mpya, Uongozi mzima wa Menu Time Investment unawatakia nyote kila la kheri katika kusherekea sikukuu hizi, Tuanze na kumaliza salama, tusafiri, tufike na kurejea salama, na pia Tubaki salama.


   Tuwasaidie haswa wale wanaohitaji msaada toka kwetu, tuwasalie wote walio na mahitaji ya maombi zaidi na pia tuwasalie waliotangulia.


Uongozi wa Menu Time unawatakia 
Sikukuu njema za Noeli na mwaka mpya!!

No comments:

Post a Comment