Tuesday, December 24

Cha asubuhi - Xmas eve

  Wakati twajitayarisha na sikukuu ya Noeli,  yaani wengine huiitwa Christmas eve, sie twaanznia asubuhi. Na Usubuhi huu wa Jumanne hii tumeanza siku namna hii...
  Kuna mikate iliyookwa, mayai yaliovurugwa huku yakikaangwa na vitunguu maji, nyanya na  pilipili hoho, pia kuna sausage za nyama ya ng'ombe, huku vyote vikushushiwa na chai ya maziwa.

    Je, weye waanzaje xmas eve yako??

No comments:

Post a Comment