Tuesday, April 22

Menu za Pasaka


  Tunaendelea kuwajuza menu mbalimbali zipatikanazo ule mgahawa uliopo VIVA complex, wajulikana kama Rhapsody's ambapo tulienda na wanafamilia.
  Menu ya tatu ni Sun dried chick, ambapo ina jibini ya kutosha kwa wale wapenda jibini.

  Ya nne ni T-Bone 500g, ambapo sis yeye alipenda alisindikizie na viazi vilivyopondwa pamoja na sauce ya pembeni kama ionekanavyo kwenye picha hapo chini
   Fanya kupitia hapo, wana selection nyingi sana za vyakula mbalimbali ambapo wahudumu, watatumia muda kukuelekeza kiundani menu inawekwa nini na nini ndani kabla ya kuagiza.
   Kesho tutamalizana na mgahawa huu kabla ya kuangalia mwingine uliopo maeneo ya Masaki hapa hapa Dar es salaam

No comments:

Post a Comment