Wednesday, April 23

Menu za Pasaka

Tunaendelea kuwajuza yalojiri wakati wa Pasaka tulipokuwa na wanafamilia pande za mgahawa wa Rhapsody's.
   Kulikua na T-Bone 500g iliyosindikizwa na chipsi pamoja na sosi ya uyoga na vitunguu vilivyokaangwa kiutaalamu

 Pia mmoja wetu aliagiza nyama aina ya Sirloin 250g ambayo ilisindikizwa na chipsi pamoja na salad
  
  Na hapo ndo tumefika mwisho wa kuonesha yalojiri nyakati za sikukuu ya Pasaka, tulivyosherekea na wanafamilia na marafiq wa Menu Time.
  Tujuze je, kwa upande wako mlifanya nini na wapi? ilikuaje na mengineyo kupitia email address yetu menutimes@gmail.com.

No comments:

Post a Comment