Tuesday, April 8

Menu ya kitaa

Ilipotimu mchana wenyeji wetu walitupeleka eneo lijulikanalo kwa uchomaji nyama mzuri. Eneo ni Mile stone na huu ni ushuhuda wa uwepo wetu eneo hilo

Nyama ya mbuzi, upande wa mbavu ulisindikizwa na chipsi.
                         
 Tutaendelea kuwajuza yaliyojiri safarini

No comments:

Post a Comment