Monday, April 7

Kifungua kinywa Arusha

Tukiwa Arusha tulifikia New Arusha Hotel, ambapo kifungua kinywa kilikua hivi...
  Tulianza namna hi
i

 
  Then matunda na yoghurt.
  
Pia kulikua nà mayai yenye viungo na chapati
  
 Na asubuhi yetu ikaishia hapo. Tutarejea kesho kuwajuza mengine mengi yalojiri Arusha na Moshi

No comments:

Post a Comment