Friday, April 18

Mboga mboga tu leo

   Tukiwa tunawasindikiza wenzetu, tunawakumbushia kutokula nyama, na pia twawatakia wote mapumziko mema yenye Amani.
  Salad kutoka Menu time

 Na salad kutoka kwa wifi Anita

  Kila la kheri ya wikiendi hii na sikukuu za Pasaka

No comments:

Post a Comment