Monday, February 10

Tufungue kinywa Jumatatu hii.

Baada ya kutoka mapumziko mafupi ya wikiendi tupo tayari kabisa kwa kujenga taifa letu.
  Kifungua kinywa cha leo ni supu ya kuku yenye mbogamboga na macaroni inayopatikana Kinondoni.

   Baadhi ya wanatimu wa menu time wanaelekea Mwanza a.k.a Rock city asubuhi ya leo.
   Karibuni kusafiri nasi katika suala la menu.
   Tunawatakia wiki njema yenye mafanikio na afya tele.

1 comment:

  1. Kinondoni ni kubwa wajameni, nimeitamani hiyo supu ingekuwa vyema mkataja na hoteli kabisa inapopatikana.

    ReplyDelete