Friday, February 7

Macaroni na kamba

   Jana usiku tuliamua kuingia jikoni na kupika chakula cha haraka haraka kwa ajili ya familia yetu.
  Tukisema cha haraka haraka tunamaanisha kwamba chatumia muda mchache kutayarisha hadi kukipika na mwisho wake huwa kitamu.
   Katika Mapishi time naamini tumeshajifunza namna ya kupika tambi,  pia namba ya kupika rosti ya kamba, na ukimaliza wavichanganya vyote ukiongezea jibini na muinekano huwa hivi.


  Tujuze wikiendi hii utakuwa wapi? Na je, wajitayarishaje na cha mchana cha leo na cha usiku?

No comments:

Post a Comment