Tuesday, February 25

Nyama choma

Kutoka Nzega, mchana wa leo tumechoma mbuzi na kumtafuna na huu ndo ushahidi wetu.
Huku bwana wanapitishiwa maziwa asubuhi, maziwa yasiyo na maji yaani ni matamu. Pia kuna asali za ukweli na tumenunua kurejea Dar na zawadi.
  Raha ya kusafiri central part ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment