Monday, February 24

Menu ya mchana

Ijumaa tulipata cha mchana pale Nyumbani lounge, mgahawa uliopo mbele kidogo ya best bite unaomilikiwa na lady Jaydee.
   Dhumuni la kupata chakula pale ni kiliandaliwa katafrija kadogo ka kumuaga mwenzetu na kwa utulivu uliopo pale na menu nzuri waipikayo, tukashawishika kukutana pale.
   Sahani yangu ilikua hivi.....

  Nyama nyingi, kisamvu kiasi na viazi kidogo, huku matunda yakisindikiza mlo.
Karibuni pale kwa chakula cha mchana.

No comments:

Post a Comment