Tumeamkia Nzega na asubuhi yetu tumeiamsha namna hii

Kuna mayai yalovurugwa juu ya mkate uliookwa, kikombe cha kahawa, rosti ya maini ikisindikizwa na maandashi, juisi ya rozela na matunda.
Twaamini Jumatano yenu imeanza vyema pia.
Twaamini Jumatano yenu imeanza vyema pia.
No comments:
Post a Comment