Naendelea kuwajuza ni menu gani waweza pata ukipita ile bar yetu ya shieni iliyopo sinza mori.
Kunakuwaga na ugali na mboga uipendayo hasa ya kuku. Karibuni.......
Kuna kachumbari matata
Kunakuwaga na ugali na mboga uipendayo hasa ya kuku. Karibuni.......
Kuna kachumbari matata
Na upande wa kuku, kuna rosti ilochanganywa na maziwa.
Kunakua na ugali wa mahindi
Tunawatakia Jumanne njema yenye mafanikio.
No comments:
Post a Comment