Kutoka shieni bar iliyopo sinza kwa wajanja, twaongelea sinza mori nawatambulisha menu yao.
Kuna ugali wa sembe, mchicha na kuku rosti. Mambi yako hiviii...

Kuna ugali wa sembe, mchicha na kuku rosti. Mambi yako hiviii...
Kwa karibu huu ni ugali

Kisha kuna mchicha

na kuku alorostiwa

kwa pamoja sahani yaonekana hiviiiiiii

Karibuni sana. Twawatakia wiki njema
Karibuni sana. Twawatakia wiki njema
No comments:
Post a Comment