Wakati naendelea kukujuza yaliyomo Shieni bar, leo nageukia upande wa supu.
Moja ya supu ipatikanayo shieni ni ile ya kongoro. Ni tamu, safi na nzuri.
Ushuhuda wetu ni huu

Moja ya supu ipatikanayo shieni ni ile ya kongoro. Ni tamu, safi na nzuri.
Ushuhuda wetu ni huu
Karibu uonje, ule , ufurahi nasi. Shieni 4 life!!
No comments:
Post a Comment