Tuesday, January 21

Cha asubuhi

Bado tupo kwa mama Lulu na asubuhi ya leo, tumefungua kinywa kwa style hii
Kuna mikate iliyochovywa mayai na kukaangwa, kuna jibini, vipande vya kiporo vya nyama, vyote vikishushiwa na chai ya maziwa na maji ya matunda.

No comments:

Post a Comment