Mchana huu tumepika Ugali, mchicha wa kuchemsha na samaki wa kukaanga huku mtindi ukisindikiza mpango mzima.
Sasa hawa samaki kabla ya kuwakaanga unawa chana kidogo pande zote mbili, kisha unawanyunyuzia chumvi, pilipili manga na ndimu kwa ajili ya ladha. Unawaacha kwa muda ili viungo viingie kabla ya kuwakaanga katika mafuta safi ya kupikia na ya moto.
Samaki wangu walitokea hivi
Na kwa menu nzima, muonekano ulikua hivi....

No comments:
Post a Comment