Thursday, December 26

Zawadi zawadi

  Imekuwa raha sana, kwa wanafamilia wa Menu time kupokea zawadi mbalimbali toka kwa marafiqs na wanafamilia toka pande mbalimbali za dunia.
  Tunasema asanteni sana, na hapo chini ni baadhi ya yale tuliyopokea
Asante da Upendo kwa chokoleti 

  Asante Abdallah Gunda kwa mzigo

  Asante Haika wa Mtei kwa dinner seti nzuri

  Tunawatakia boxing day njema, tukiamini nanyi mmepokea mengi mazuri kutoka kwa marafiq na wanafamilia mbalimbali.

No comments:

Post a Comment