Tuesday, December 31

Kifungua Kinywa

   Tumeamka salama il na kauchovu kwa mbali, hivyo kwa harakaharaka tuliandaa yafuatayo kwa ajili ya kifungua kinywa
   Kuna maharagwe ya kopo, mayai yalokaangwa pamoja na jibini iliyowekwa kwa juu ya majai. Tulishushia na chai ya maziwa yenye cocoa pamoja na juisi ya nanasi
  
   Baada ya hapo, tukajiuliza je, mchana tupike nini cha haraka haraka???? 
stay tune  tutawajuza

No comments:

Post a Comment