Tuesday, December 31

Kutoka Dar iliyo salama

Rafiqs wanatujuza yanayojiri Dar iliyo salama, na hapa ni baadhi ya milo wamepata mchana wa leo....
  Mlo gani pande hizi tumepika tutawajuza kesho
Karibu kufurahi menu ya Rafiqs.. Wa kanza alipata makange ya kuku pamoja na ndizi moja iliyochanwa kati na kukaangwa

  Wa pili alijipatia ugali mweupe, mboga mboga pembeni ikisindikizwa na samaki wa kukaangwa

  
    Menu hizi zapatikana pale kwa Rafiqs wetu Rose garden kwa bei ya kawaida kabisa ya kitanzania. Fanya kupita kupata menu kama hiyo

No comments:

Post a Comment