Wednesday, October 9

Twaondoka Masaki

   Tunamalizia sahani ya Rafiq wa tatu aliyejumuika na wenzie siku ya Jumatatu pale pale Spurs.
   Hakupishana sana na Rafiq wa kwanza, ila sahani yake ilikuwa na muonekano huu

    Ribs za kitimoto zaonekana zimekolea viungo, na zimepikwa zikapikika vyema na kwa ufundi wa hali ya juu.
    Ukiwa pande zile fanya uwatembelee wataalamu hawa wa mapishi ya pork.
Kutoka menu time twawashukuru sana Rafiqs walioweza kushare nasi utamu huu katika siku hizi tatu mfululizo

No comments:

Post a Comment