Tuesday, October 8

Sea Cliff Village - Spurz

 Bado tupo hapa tunaangalia sahani ya Rafiq wa pili waliokuwepo pande za Masaki, pale Spurs.
   Yeye aliagiza kuku na chipsi na katika upakuliwaji, vile vitunguu vyetu vyenye ladha navyo vilikuwepo

   Kutoka kwa Rafiqs alisema, kwiyoooo a.k.a kuku alikaangwa vyema sana na alikua mtamu muno.
Tumebakiwa na siku ya kesho kuonesha sahani ya tatu aliyoipata Rafiq pale Spurs. Mpaka kesho Rafiqs wanaripoti toka Masaki, Dar es Salaam, Tanzania.

No comments:

Post a Comment