Monday, October 7

Mambo ya Spurs kule Sea cliff village - Masaki

   Rafiqs wametembelea pande za Masaki na muda huu wa mchana wakapata menu yao eneo la Spurs. Hawa wanajulikana zaidi kwa utengenezaji au tuseme upishi wa pork ribs, yaani ndio wataalamu wenyewe waliokubalika na wengi.
   Tunaanza kuangalia menu ya Rafiq wa kwanza ambayo ndo hiyo. 
Kuna pork ribs na chips pamoja na vitunguu vilivyokaangwa baada ya kuchovywa kwenye mayai na viungo vingine vingine.



  Waweza kufika huko pande za Sea Cliff Village na kupata menu yako safi kabisa pande hizo za Masaki. Kesho na kesho kutwa tutaendelea kuwajuza kipi kingine rafiqs walipata pande hizo

No comments:

Post a Comment