Thursday, September 26

Samaki Samaki wa ziwa Victoria

Tukiwa twarejea Dar iliyo salama tulipita pande za Mwanza a.k.a Rock city, na kama ilivyo ada yatupasa kupita palipo samaki wa kuchoma na ni sehemu tuipendayo yaitwa Villa Park.
   Tulikutana na haya, Samaki

 Hapa akiwa na vikorombwezo kadha wa kadha, kuna kachumbari, pilipili na viepe a.k.a chipsi

Asanteni sana wana wa Mwanza, haswa Villa park kwa service nzuri na chakula kitamu. Ni sababu tosha ya sisi kurejea tena.
   Kutoka Rock city, Mwanza Ljm naarifu!!

No comments:

Post a Comment