Thursday, October 10

Kitimoto - pande za Kinondoni

    Kama vile wiki hii tumeamuliwa na marafiq kushare nanyi menyu hii ya kitimoto a.k.a pork, a.k.a nguruwe.
   Safari hii tumehama kutoka Masaki hadi Kinondoni, ambapo wao walikua wanakipata na ugali. Hatusemi sana ila pata picha halisi.
Hapa kikiwa peke yake

Halafu hapa ikiwa pamoja na ugali, tayari kuliwa na marafiqs


   Kutoka Kinondoni, walipo marafiqs, twasema karibuni siku za karibuni!!

No comments:

Post a Comment