Tuesday, October 29

Kutoka Sweden - Lunch ya Jumapili

Rafiq yetu toka pande za Sweden bi Julieth ameshare nasi picha ya chakula cha mchana alichojipatia siku ya Jumapili.
 Menu hii aliipika mwenyewe, nyumbani kwake.... karibu kuishuhudia
Kuna viazi vyenye sauce pamoja na herbs, huku pembeni kuna nyama
 
  Na kwa kusindikiza menu yake, alitengeneza juice  ya tikitimaji, kama ionekanavyo hapo chini

   Kwa muonekano, yaelekea da Julieth aliinjoy sana Jumapili yake na menu hiyo hapo juu. 
Asante sana Julieth wa Sweden, endelea kuwa nasi.
Rafiqs, nanyi mwaweza share nasi menu mzipatazo, kupitia email address menutimes@gmail.com au watsup kwa namba +255 784 999 790.
Tufuate kwa twitter kupitia @menutimetz na instagram twajulikana kama @menutimes. Pia penda facebook page yetu ambayo ni www.facebook.com/Menutime   ...na utapata kuona mengi yanayojiri muda huo huo.
   Twawatakia Jumanne njema 

No comments:

Post a Comment