Monday, October 28

Kifungua Kinywa Jumatatu hii

  Kutoka jiko la menu time, leo twafungua kinywa kwa namna hii.....
kuna sambusa za nyama, katles za samaki pamoja na bajia za dengu, huku tukisindikizwa na chai ya maziwa ya kuchemshwa tu.

  Angalizo, katles waweza zipika ukitumia nyama au samaki au aina ingine ya nyama kutokana na mapenzi yako

    Rafiqs tujuzeni mwafunguaje siku? Wiki? Nyumbani, suhghulini, shuleni,  kitaani, hotelini,ofisini, kwa jirani???????
  Anwani ni menutimes@gmail.com.
Twawatakieni wiki na siku Nj ema!!

No comments:

Post a Comment