Friday, October 25

Kifungua kinywa siku ya wikiendi

   Ijumaa ndio hii... yaani wikiendi si ndio imeanza..... basi tukutane Shieni bar iliyopo Sinza mori pale......
Moja ya menyu itakuwepo ni kama hiyo supu ya ng'ombe

   Twawatakie mapumziko mema ya mwisho wa wiki. Stay Blessed.!!

No comments:

Post a Comment