Wednesday, October 23

kifungua kinywa cha leo

   Ni Jumatano nzuri ambapo tunashukuru kwa kuamka salama, na kwa kufungua kinywa tulikua na menu hii hapa chini


  
  Ni chai ya maziwa pamoja na bajia za dengu. Haimaanishi kwamba tulikula zote, laa tulikua na marafiqs ambao tulishare nao.
   Tujuze mmefungua kinywa na menu ipi?? email addres yetu ni menutimes@gmail.com

  

No comments:

Post a Comment