Wednesday, September 18

Pizza toka U.S.A

Picha kutoka USA aliko bwana Peter, ameshare nasi mambo matamu anayokutana nayo pande hizo.
  Pizza yenye nyama na kuna vipande vipande vya nanasi pamoja na jibini ya kutosha

  Pia aliisindikiza pizza na vipande vya kuku vyenye ladha ya asali

  Asante sana P kwa kushare nasi yanayojiri huko. 
Waweza tuma picha za menu ulizopishana nazo kupitia email address yetu menutimes@gmail.com 

No comments:

Post a Comment