Thursday, September 19

Wikiendi ndo hiyoooo

  Tunajitayarisha na wikiendi maana leo ni Alhamisi. Sasa basi sio lazima utoke ati ndo usherekaa wikiendi yako, laah waweza pika mwenyewe ndani na kuenjoy menu yako, huku waongea na familia, umealika marafiki au ndugu nakadhalika.
  Tunakusindikiza wikiendi yako kwa kuonesha nini waweza kula/ kupika kwani wikiendi ndo ishaanza

Je, una mipango gani ya kufanya mwisho wa wiki huu ujao? share nasi... na kujua tupo wapi... like our page kwa face book. www.facebook.com/MenuTime

No comments:

Post a Comment