Friday, September 20

Supu ya Ijumaa

 Wikiendi ndo imeanza...... tunaanzia wapi Rafiqs... tutakua nyumbani, kitaani, shereheni, kazini, safarini, misikitini, makanisani, ngomani, barbarani au wapi????
   Rafiqs pande za Kigoma tutakua wapi? , Iringa 255 au VIP? , Moshi semeni mbege twanywa wapi?
    Dar es salaam, tunavuka boda au mkoa tu? tujuze kwa maneno na kwa picha.... kuwasindikiza ni supu ya ng'ombe


   Mawasiliano yetu ni yaleyale, bofya palipoandikwa mawasiliano, chinin ya KURASA. 
Mwisho wa wiki hii, team Menu Time tunavuta pumzi, tukitafakari mengi matamu yajayo tukiwa majumbani mwetu.
   Twawatakia mapumziko mema Rafiqs!!

No comments:

Post a Comment