Monday, September 2

Kifungua kinywa

   Breakfast iliyoliwa siku ya Jumapili, a.k.a Jana, tukiwa nyumbani. 
Kulikuwa na chai ya maziwa, mikate iliyookwa iliyowekwa mayai na sausages ndani, na pembeni kuna cookie.


   Tujuze weekend wafunguaje kinywa Rafiqs!! tuandikie menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment