Tuesday, September 24

Kifungua kinywa cha leo

Jumanne hii tumefungua kinywa na vifuatavyo mbele ya meza yetu. 
  Kuna chai ya maziwa yenye milo na kahawa kwa mbali ndani yake, kuna mikate iliyowekwa kwenye moto kidogo a.k.a toasted, kuna sausage na mayai yaliyo kaangwa huku yakikorogwa a.k.a scramble eggs, vikisindikizwa na vipande vya matunda.

  Tujuze Rafiqs, unafungua kinywa na menu gani siku za wiki?? Tuma kwa menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment