Saturday, August 17

Zege la Iringa.

   Timu ya Menu time iko pande za Iringa wikiendi hii na katika pitapita zetu tukakutana na chipsi mayai a.k.a zege kitaani. Tukasimama na kumsupport muuzaji na hiyo hapo chini, ndo picha ya zege la Iringa.

No comments:

Post a Comment