Friday, August 16

Vyuku vya Shieni

Bado tupo baa ya Shieni kule Sinza ya wajanja, na leo tunaona wana nini wikiendi hii?
Ratiba yao ni kubwa na ya kujitosheleza. Ila kwa siku ya leo wameniagiza nioneshe vipande vya kuku ambavyo huchomwa. Wamesema ukiondoa kuku choma pia kuna ulimi choma inayoandaliwa na chachandu tamu ya pilipili

   Wapi wajumuika na marafiq na familia wikiendi hii Rafiqs??? Tujuze na ni menu gani mlipata mlipokutana.
Usisahau kutembelea page yetu ya facebook kuona tuna ofa gani wikiendi hii

No comments:

Post a Comment