Thursday, August 15

Supuuu ya ng'ombe tuikaribishapo wikiendi

   Kila mmoja wetu ana siku anayoanzia wikiendi yake, kwa wengine tayari imeanza jana na leo kitu cha supu kinahusika sana. 
  Basi katika kuwasindikiza, supu kama hii waweza ipata pale Shieni bar iliyopo Sinza mori, Dar iliyo salama.

   Tujuze lini waanza wikiendi yako, na je, supu yako waipatia pande zipi. Tuma kupitia menutimes@gmail.com.
  Kwa wanaoanza leo wikiendi, kila la kheri kwenu, tukutane kesho tuone tumewaandalia nini

No comments:

Post a Comment