Sunday, August 18

Kifungua kinywa Jumapili hii

   Tukiwa twajiandaa kurejea Dar, tukasema tushare leo twafungua vipi kinywa pande za Iringa.
   Kuna mikate iliyookwa a.k.a  toasted bread, jicho la ng' ombe, kipande cha papai na kikombe cha kahawa.
    Katumbo kanapata joto na pia tukiwa safarini, hatupendi saaana kujaza tumbo huwezi jua ya njiani.
  Tuwatakie Jumapili njema Rafiqs, tutajuzana mengi tuliyoyaona na kukutana nayo Iringa kuanzia kesho. Twakusihi uendelee kututembelea blog yetu na pia angalia facebook page yetu,  instragram na twitter.

No comments:

Post a Comment