Thursday, August 29

Kiti moto ya kuchoma

  Ukiondoa vya majini tulivyoviona jana, bwana mpishi alihakikisha uwepo wa aina zote za nyama ili kukidhi hamu ya wateja wake, hivyo katika mapishi yake kitimoto nayo ilikuwepo.
   Hii ilikuwa katika mtindo wa sausage ambapo ziliwekwa juu ya jiko na kuachwa zichomeke vyema na kuiva hadi ndani tayari kwa kuliwa.

   Tumeona vya majini, na vya kitimoto katika mapishi ya chef wetu bwana Travor aliyetukarimu katika visiwa vya Mbudya. Kujua nini kingine kililika pande zile, tutembelee na kesho tena.

No comments:

Post a Comment