Wednesday, August 28

Samaki choma


  Jumatano ndio hii, na twaendelea kukujuza yalojiri kule visiwa vya Mbudya. Palipo na kisiwa ni lazima vyakula vya majini kuwepo. 
   Samaki walikuwa marinated na viungo mbalimbali na wakawa wanasubiri kuwekwa kwenye jiko la mkaa.

   Sasa baada ya kuanikwa jikoni wakiungana na seafood wenzie, muonekano ulikuwa hivi..

  Haya tuangalie ni kipi kingine kilikuwepo katika maakuli? tembelea sisi tena kesho.

No comments:

Post a Comment