Tuesday, August 27

Vya majini choma a.k.a Sea food BBQ

 Tunaendelea kutoka jana ambapo tunachambua picha mojamoja ya misosi iliyokuwepo pande za Mbudya ambapo tulipata kupatembelea mwisho wa wiki iliyopita.
 Tulikuwa na samaki ambao walitayarishwa kwa ajili ya kuchomwa.

   Samaki hawa waliwekwa kwenye viungo mapema ili kukolea vyema na tulipofika pale, ilikua ni swala la kuwachoma kwenye moto kwa taratibu tayari kuliwa na wageni kadhaa. 
    Tunarejea kesho kuwajuza mengine zaidi

No comments:

Post a Comment