Monday, August 26

BBQ ndani ya kisiwa cha Mbudya

   Ijumaa ya wiki iliyopita, tulipata mualiko pande za kisiwa cha Mbudya na ili kufika kule tulipaswa kwenda ufukwe wa The slipway uliopo Masaki, kuweza kupanda kiboti kidogo, kabla ya kuhamia boti kubwa, kisha kwenda pande za huko kisiwani Mbudya.
   Ni kisiwa kisafi, kizuri chafaa kwa mapumziko iwapo unataka kuwa mbali na kelele na kazi nyinginezo, haswaa kupata wasaa wa kupumzika.
   Huko hamna chakula, yapaswa kwenda nacho, nasi kwa msaada wa bwana Travor, alitayarisha haya
    Tutarejea kuwajuza zaidi kuhusiana na picha moja-moja hapo juu. Mpaka kesho tuwatakie Jumatatu njema yenya baraka tele.

No comments:

Post a Comment