Friday, August 23

Mikumi on ze way to Iringa


Njiani tukielekea Iringa, tulipishana na Rafiqs hawa pale mikumi. Ilikua faraja sana kwetu kupishana nao kwani wengi wetu wanaishia kuwaona kwa picha ili hali hifadhi za wanyama zipo nyingi na hapa hapa nchini, kwa gharama rahisi sana.
  Tulimwona twiga akiwa na shughuli zake binafsi.


  Kisha kwa mbali alikuwepo pundamilia

 Mbele kidogo tukakutana na twiga akiwa na pundamilia wakifanya yao,
 
   Ili tusimalize hamu, utamu na nia ya wewe kwenda kuwaona hawa rafiki zetu, hatuna budi kuishia hapa. Ukipata muda pita Mikumi, Serengeti , Ruaha na mbuga nyingine zilizobaki. Tunawatakia wikiendi njema sana.

No comments:

Post a Comment